Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza
na wawekezaji kutoka kampuni ya Endenville Energy PLC ya Uingereza
ambao wanakusudia kuwekeza katika umeme wa makaa ya mawe
nchini.Wawekezaji hao ni Mwenyekiti wa Kampuni Simon Rollason (kulia)
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni, Mark Pryor (wapili kushoto) na
kushoto ni Mwenyeji wao, Cassiano Kaegele, Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Upendo Group ya Sumbawanga.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment