HOME OF ENTERTAINMENT NEWS,
FASHION,LIFESTYLES, EVENTS &
GOSSIP,
Email: teddykaegeles@gmail.com
Facebook: Teddy Kaegele
Twitter: teddykaegele
Youtube: teddykaegele
Instagram: teddykaegele
Contacts: +255762200027
Located In Sumbawanga, Rukwa, Tanzania
▼
Monday, 7 January 2013
I HEART INTERNATIONAL SUPER MODEL MILLEN MAGESSE FROM TANZANIA....
Millen Magesse na Sporah Njau ni watu wanaoiwakilisha Tanzania ki Internationa lakini hatuwaonagi kabisaaaa kwenye blog za Tanzania, au ndio wameshapita na daraja lakuwa kwenye blog za kibongo?? sio kwa ubaya Teddy lakini hawa wa dada wawili mi nawazimia sana na wako VERY CLASSIC hawana makuu kabisaa, yani sio wa-swahili, huwasikii wanapiga makelele na maisha yao, hela wanazo, majina makubwa halafu hawapigipigi kelele kama wenzetu na sie, Asante sana sana kwa kua unawakumbuka hawa warembo. BIG UP Millen nakupenda sana dada.

ReplyDelete