Katika mwaka huu 2013, Inatimia miaka 13 tangu nianze kazi ya muziki.
Nashukuru
MUNGU tuko pamoja na pia, nashukuru umma wa Tanzania kwa kuendelea ku
support muziki wa Tanzania na kunipa nguvu mimi kama msanii.
Nashukuru vyombo vyote vya habari vinavyoshiriki kikamilifu kukuza na kulinda sanaa ya Tanzania bila kujali maslahi binafsi.
Tumeandaa sherehe kubwa na nzuri ya miaka 13 ya LADY JAYDEE, katika muziki.
Na mdhamini mkuu kwa upande wa media ni East Africa TV.
Sherehe
ya miaka 13 ya Lady JayDee katika muziki itaambatana na uzinduzi wa
album yangu ya sita inayokwenda kwa jina la NOTHING BUT THE TRUTH ambayo
ina jumla ya nyimbo 10.
Katika sherehe hizo pia kutakuwa na show ya nyimbo zote bora za JayDee nikishirikiana na baadhi ya wasanii wenzangu hapa nchini.
Sherehe zitafanyika Ijumaa tarehe 31 May 2013.
Nawakaribisha wote tufurahi pamoja
Na Mungu awabariki
HOME OF ENTERTAINMENT NEWS, FASHION,LIFESTYLES, EVENTS & GOSSIP, Email: teddykaegeles@gmail.com Facebook: Teddy Kaegele Twitter: teddykaegele Youtube: teddykaegele Instagram: teddykaegele Contacts: +255762200027 Located In Sumbawanga, Rukwa, Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Paula Abdul will be an ex-factor on the “X Factor.” The former “American Idol” judge has been given the boot from the talent competition ...
No comments:
Post a Comment