Ijumaa
si ndio kesho?? Kama uko Dar es salaam jisogeze Nyumbani Lounge ni
usiku wa Ladies . Tukiwa na mgeni toka bongo movie LULU, atakuimbia
YAHAYA pale kati.
Pia nakala za movie ya "FOOLISH AGE" zitapatikana mlangoni
Zikiambatana na tshirts za Team Anaconda
Zawadi nyingi nyingi kutolewa kwa Ladies
Pamoja na BBQ na puch za kumwaga.
Karibuni sana
No comments:
Post a Comment