NEW VIATUZI SHOP OPEN IN MBUYUNI TODAY 2ND MARCH 2012


DUKA HILI LIPO MBUYUNI ( PALE LILIPOKUWEPO DUKA LA SHOE LOUNGE) .
AU KAMA UNATOKEA MWENGE KUELEKEA POSTA  DUKA LIPO OPPOSITE NA KITUO CHA BASI CHA MBUYUNI ST PETERS. IKIWA UNATOKEA MJINI ,  BAADA YA TAA ZA TRAFFIC ZA ST.PETER DUKA LIPO MBELE KIDOGO , UPANDE WA KUSHOTO KARIBU NA U- TRUCK.  KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KWA NUMBER 0715-850855,0714992448,0715209700. KARIBUNI SAANA

Comments