Thursday, 6 December 2012

THE MBONI SHOW TONITE @ 9PM ON EATV: MAMBO YA SPANA NA LIPSTICK


 ZE HOST: MBONI MASIMBA
 ZE TALENTED: HILDA RINGO
 NI WIKI HII KATIKA THE MBONI SHOW KUTANA NA WANAWAKE MAKINI KABISA WAKIAINISHA JINSI WANAWAKE WANAWEZA KUFANYA MAMBO MAKUBWA KABISA

KATIKA SHOW YA WIKI HII TUTAKUWA NA MH ASSUMPTER NSHUNJU MSHAMA (left) NA HILDA RINGO (right) MWANAMKE ANAYERUSHA NDEGE NJE YA TANZANIA

USIKOSE KUANGALIA NI SAA TATU KAMILI USIKU @EATV PEKEE

No comments:

Post a Comment