MwanaFA awa balozi wa Samsung Galaxy S4 Tanzania

 Mwana FA
 Mwana FA na Meneja wa Samsung Tanzania Kishor Kumar
  Kulia ni  Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar na kushoto ni  Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt. 
Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ ametoa shukrani kwa heshima hiyo aliyopewa na Samsung Tanzania kwa kuwa Balozi wa Samsung Galaxy S4. Simu ambayo inaongozwa kwa mauza ambapo kwa wiki 3 imeshauza simu Milioni 10 duniani kote.

Comments