WAJASIRIAMALI MKO TEYARI??? NJOO UPATE SOMO JUMAPILI TAREHE 2 JUNE MAJESTIC HALL SINZA KWA REMMY.

Usikubali kukosa Kongamano hili la wajasiriamali,Njoo upate elimu ya ujasiriamali,njoo uzijue siri za mafanikio,kutana na wajasiriamali wenye mafanikio baada ya changamoto mbalimbali,njoo ujitangaze ujulikane ww nani na unafanya biashara gani.Finca watakuepo.Itafanyika Majestic Hall, Jumapili Ijayo tarehe 02 june,jipatie tket yako leo kwa 20,000/=Meza ya kufanyia biashara ni 10,000/= 0753643934 or 0654450200

Comments

  1. I'm curious to find out what blog system you're using?

    I'm experiencing some small security issues with my latest website and I'd like to find something more safe.
    Do you have any suggestions?

    my weblog :: buy magic flight launch box

    ReplyDelete

Post a Comment