Mkasi - with Vanessa Mdee

Comments

  1. Asante for sharing this. Ni nzuri na msichana anapenda kujitolea kwa watu. One problem: haishi akijua uasilia ya Tanzania, nchi yake! Labda udogo au mzingira anayoishi, lakini kama public figure anatakiwa ajue kuongea na high & low class bila kutofautisha. Sijapenda maneno yake ya "common sense" ... what is "common sense". Does she have one? pleaseeeeee

    ReplyDelete

Post a Comment