HAPPY ANNIVERSARY TO MY BEAUTIFUL GIRL SINTAH AND HER HUBBY...Kama nakuona leo najua hata nje hutatoka... mwambie huyo mtoto wa kishua anunue keki aacha masihara.... i wish to post more fotos and more blessing another time like this next year.. uvumilivu ndo kila kitu.. Stay blessed and keep that beauty ALIVE! LOVE IS A BEAUTIFUL THING asikudanganye mtu!!! kupenda na kupendwa rahaaa kula raha J wake LO, CEO mwenyewe leo Sintah's Wedding lounge usiende kabisa kula raha shoga yangu.. nawapenda sana and SEE YOU IN SUMBAWANGA SOON...

Comments

  1. Sorry, Huyu kaolewa? i am just asking

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahahahaha mdau nimechekaje...ndo hapa simwelewagi huyu dada, mtoto siri, bwana siri, what kind of life is that? am not hating, infact mi ni muumini mzuri wa blog yake. Sintah, usifanye hivyo, you are a celebrity, let us be inspired bwana huwezi jua familia yako ikionekana watu tutajifunza nini..usiwe mchoyo hivyo, by the way wewe ni mrembo!

      Delete

Post a Comment