Thursday 5 September 2013

DON'T MISS LADIES NIGHT THIS FRIDAY 6TH SEPT. @ NYUMBANI LOUNGE

Ijumaa si ndio kesho?? Kama uko Dar es salaam jisogeze Nyumbani Lounge ni usiku wa Ladies . Tukiwa na mgeni toka bongo movie LULU, atakuimbia YAHAYA pale kati.
Pia nakala za movie ya "FOOLISH AGE" zitapatikana mlangoni
Zikiambatana na tshirts za Team Anaconda
Zawadi nyingi nyingi kutolewa kwa Ladies
Pamoja na BBQ na puch za kumwaga.


Karibuni sana

No comments:

Post a Comment