SUPPORT YOUR OWN: BUY SETH de JESUS "FALLING IN LOVE" BOOK TODAY!!!

Kumfuatilia na Kumchukia EX wako na kuona husuda na kijicho kwa sababu tu sasa hivi ana Furaha na Maendeleo kuliko alivyokuwa mikononi mwako ni Kujitafutia Terrabytes za Stress na Gigabyte za Ugonjwa wa moyo bila sababu...Mind your Own Business.
Kama ulikosea ukabugi stepu alipokuwa mikononi mwako na amepata anayempa furaha na kicheko kuliko wewe,JILAUMU MWENYEWE!
Ulipewa nafasi ukamuona Mbulula kwa Penzi lako,kila alipojitoa kukupenda kwa dhati ukageuza Moyo wake ni Dancing Floor ya kuchezea Ngololo.
Unajikata Mtama mwenyewe unalia mwenyewe,Mfiwa wewe,Muombolezaji Wewe na Mkusanya Rambirambi wewe..Unaleta tamthiliya za Marichui kwenye Mapenzi??
Ulipewa nafasi ya kumpa furaha ukambwela-mbwela,waache wanaojua kugawa Bundle za Bure za Kicheko wampe raha. 


MANENO YA SETH HAYO JAMANI... NUNUA KITABU LEO BASI ILIUENDELEE KUFAIDI NA KUELIMIKA KIMAPENZI ZAIDI....
www.sethuniversity.com

Comments