DIAMOND WILL BE CELEBRATING THIS CHRISTMAS WITH KIDS!!! BRING YOUR KIDS AT LEADERS CLUB FROM 9AM!!!

"Finaly!!!!!!..........I hope We ushacheza na kuimba saaaaana na Diamond... sasa hii ni maalum kwa Mtoto wako, Mdogo, Uncle, Aunty yako inshort Family!...ni this wednesday 25/12/2013 Christmass katika viwanja vya Leaders Club, itamwagwa Michezo yooooote ya watoto ikiambatana na Burudani Kali toka @Wcb_wasafi ....ZINGATIA! Kuna kitu cha RedCarpert Maalum kabisa kwajili ya Watoto, hivyo hakikisha mwanao UnaMnyukisha vyakutosha!... Mvalishe kama Diamond, Aimbe kama Diamond, Acheze kama Diamond, Ikiwezekana hata nywele Kiduku cha njano kama Diamond.... Kwani nini si nini ama????? Sponsored by @Cocacolatz watoto Dressed by @babyishtz cC @iviewstudios"
 DIAMOND!

Comments