AIBU YA TAIFA! MISS TANZANIA 2014 MNAIAIBISHA NCHI YETU!

Inasikitisha sana kuona shindano kubwa kama hili la Miss Tanzania linaendeshwa kiolela olela... Why is Tanzania lying to the nation about Miss Tanzania's age???? WHY? Sitti Mtemvu there's no way you where born in 1991. I repeat NO WAY! afu isitoshe hiki ni cheti kipya where is your old cheti? aibu aibu and inasikitisha sana.

Comments